Picha ya mmiliki wa home shopping center

Kama unyama wooote huo ulioandikwa humu.kaufanya basi jamaa atakuwa na hali ngumu kweli,hakuna kitu kibaya duniani kama laana ya mnyonge
 
Reactions: kui
Amurudie tu Mungu na mungu si Athmani,huyu bwana nae kawatendea mabaya watu wengi,hapo ndio ajue anayeua kwa upanga naye atauwawa kwa upanga,na apone ili atubu na ajue kuwa kutendea mabaya wanadamu wenzako nawe kuna siku yatakupata hayo unayowatendea wenzake.pamoja na yote siku hizi hapa Tanzania pamegeuzwa Sicily ya Mafioso,mambo haya yapo sana kwa wafanyabiashara ,wanasiasa na wandishi habari,inaonekana kuna mambo mengi nyuma ya pazia hasa kwa hawa watu ''wakubwa''
 
safi sana mshenzi huyo! Watu kama hawa ndo wakung'olewa kucha na meno

kama ingekua serikali thabiti na makini ingeshamnyonga sikunyingi sana#
 
RIP kabwa malipo ni dunian akhera kuhesabiwa
 
mmh ni balaa sana.nampa pole huyu jamaa lakini nae historia inamuhukumu.kama ni kweli,basi inawezekana unyama aliofanyiwa ni kisasi.
 

usitumie fedha kuficha maovu kama aliwafanyanyia watu ubaya kama vyombo vya habari vinavyosema basi ni halali na yeye afanyiwe kwa alichofanywa!
 
Huyu jamaa kwani alimdhulumu nani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole, ile na huyo baba kama mmesoma hapo juu, mambo yake anayoyafanya ni mabayaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaa, siko hapa kuhukumu, ila kama ni kweli basi tit for tat, malipo hapa hapa duniani...anaingiza nchini madawa ya kulevya, fikiria ni vijana wangapi Tanzania wanaharibika kwa kutumia haya madawa ya kulevya. Pia angalieni jinsi anavyowanyia umafya wapinzani wake, huyu baba ni hatari sana, akitoka hospital lazima apelekwe jela akajibu mashitaka yoteee hayo, hawa ndio wanaotuharibia nchi yetu bwana. Waziri mkuu Pinda alisema mwaka huu kwamba wauza madawa sasa wameingia mpaka kwenye hizi shule za akina Kayumba wanawauzia watoto wadogo madawa ya kulevya, wanachanganya kwenye ice cream, pipi, mihogo, karanga, baaada ya muda taifa la watu wa hali ya chini woteeeeee watakuwa mateja, imagine, hawa wauza madawa ya kulevya wana roho mbayaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaa, tena hawa waarabu tupa kuleeeeeee kabisaa...
 
Da,,!
Pole yake aisee.
Sa nyingine binadamu wanafiki sana, Hivi kama mtu ni tajiri wa unyama, ubabe na unyanyasaji kiasi hicho bado anastahili pole..cjui upone haraka..then arudi wapi?
Kama tuhuma ni za kweli, uguuaa wee tena usife haraka, i think he needs 15 yrs za severe suffering before the hell welcome him.
 
Hii inatisha! Hivi mtu unawezaje kumfanyia mwanadamu mwenzako kitendo kama hiki?
Haitishi chochote..mbona stori za kawaida sana, wangemg'oa na kucha na neno bila ganzi ndo ajue.
Me nyie watanzania wenye kutoa pole kwa watu wenye scandal za kihuni siwaelewi kabisa..i guess leo mkisikia waliomfanyia ubaya Ulimboka au Kubenea wamemwagiwa tindikali mtaanza masikini Poleni...Mungu awape ahueni na bla bla ziluzojaa huruma na ubinadamu wa kijinga; mkipa Huyu pole afu mtoto aliyepigwa risasi mtamwambia nini? Mfanyakazi aliyeonyeshwa the big boss is above the law mtamwambia nini? Au mnahisi kusema umestahili ulichokipata ndo hamwendi mbinguni, angalia sana unaweza kosa yote kwa kuwa short sighted person.
By the way its not against the Bible mtu kuuwa kwa upanga na yeye kufa vivyo hivyo, kwa nyongeza wenye Bible mnaweza soma huu mstari Isaya 1:23-24.
 
Irizar Huyu ndugu hata alirudi leo hela haendi..si unaona kuna kesi kibano still ye anakula hata mtaani.
Adhabu za watu kama hawa ni ivo ivo next tym i will be happy kuisikia kanyolewa nywele kwa kunyofolewa bila ganzi. Mpango mzima ni kujichukulia sheria/maamuzi mikononi especially kwa sie tusionacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…