Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amurudie tu Mungu na mungu si Athmani,huyu bwana nae kawatendea mabaya watu wengi,hapo ndio ajue anayeua kwa upanga naye atauwawa kwa upanga,na apone ili atubu na ajue kuwa kutendea mabaya wanadamu wenzako nawe kuna siku yatakupata hayo unayowatendea wenzake.pamoja na yote siku hizi hapa Tanzania pamegeuzwa Sicily ya Mafioso,mambo haya yapo sana kwa wafanyabiashara ,wanasiasa na wandishi habari,inaonekana kuna mambo mengi nyuma ya pazia hasa kwa hawa watu ''wakubwa''
​maumivu ya kichwa huanza poole poleWe utakuwa mchawi wewe c bure,upo kama #mtela_mwampamba vile au #juliana_shonza
Pamoja na maelezo yote yaliotolewa hapa bado mnamuonea huruma mtu wa namna hii?Dah apone haraka inshaAllah.. i hope waliofanya hivi watakamatwa
Sa nyingine binadamu wanafiki sana, Hivi kama mtu ni tajiri wa unyama, ubabe na unyanyasaji kiasi hicho bado anastahili pole..cjui upone haraka..then arudi wapi?Da,,!
Pole yake aisee.
Haitishi chochote..mbona stori za kawaida sana, wangemg'oa na kucha na neno bila ganzi ndo ajue.Hii inatisha! Hivi mtu unawezaje kumfanyia mwanadamu mwenzako kitendo kama hiki?