Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,299 Dec 30, 2010 #1 Nawatakia heri ya mwaka mpya lakini asije mtu aarudi hapa JF akiwa na sura kama hii! Asanteni sana.
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,803 Reaction score 1,601 Dec 31, 2010 #2 Khaa asante sna nawe uje na mapengo yako sawa:A S crown-1::A S crown-1:
Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,361 Reaction score 2,378 Dec 31, 2010 #3 Maria Roza said: Khaa asante sna nawe uje na mapengo yako sawa:A S crown-1::A S crown-1: Click to expand... Mwenyewe Obama akiiona hiyo avatar walah utazaa nae!
Maria Roza said: Khaa asante sna nawe uje na mapengo yako sawa:A S crown-1::A S crown-1: Click to expand... Mwenyewe Obama akiiona hiyo avatar walah utazaa nae!
gwagu Member Joined Oct 20, 2010 Posts 11 Reaction score 1 Dec 31, 2010 #4 Duu hiyo ni hatari uso nyang'anyang'a
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,089 Dec 31, 2010 #5 Hilo pambano nililiona na huwezi amini jamaa huyu aliyeshindiliwa hiyo ngumi alishinda kwa KO
Sokwe Mjanja JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 576 Reaction score 297 Dec 31, 2010 #6 Hii fix haki, upande uliotokea ngumi ndio upande uliokwenda mdomo! kha!
Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 568 Dec 31, 2010 #7 Ndallo said: View attachment 19407Nawatakia heri ya mwaka mpya lakini asije mtu aarudi hapa JF akiwa na sura kama hii! Asanteni sana. Click to expand... Mh, naacha ngumi.
Ndallo said: View attachment 19407Nawatakia heri ya mwaka mpya lakini asije mtu aarudi hapa JF akiwa na sura kama hii! Asanteni sana. Click to expand... Mh, naacha ngumi.