Picha ya Mwaka 2010

Picha ya Mwaka 2010

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
2010 Boxing.jpgNawatakia heri ya mwaka mpya lakini asije mtu aarudi hapa JF akiwa na sura kama hii! Asanteni sana.
 
Khaa asante sna nawe uje na mapengo yako sawa:A S crown-1::A S crown-1:
 
Hilo pambano nililiona na huwezi amini jamaa huyu aliyeshindiliwa hiyo ngumi alishinda kwa KO
 
Hii fix haki, upande uliotokea ngumi ndio upande uliokwenda mdomo! kha!
 
Back
Top Bottom