Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sielewi!Picha hii inatufundisha nini?
Picha hii inatufundisha nini?
Kwali kabisa inaonyesha ni jinsi gani watanzania tupo juu safi sana watu kama hawa wazidi kujitokeza ili na sisi tuonekane tupo juu naimani tunaweza kabisaInawezekana ikawa ya mwaka kwa kuwa nyingene sijaziona......na hata hivyo mwaka bado haujaisha bado. Hapo hata mimi nimefurahi kama imetengenezwa na Watanzania wenzetu......Big up!
Mi hata sijaona kilichofanya hii picha iitwe ya mwaka.
Soma kwa umakini imeandikwa Smoking Kills, kwa watu wa designing wanajua kwanini hii picha iko juu kuanzia designing ya 3Ds, brushes, lightning, shadows na vectors zilizotumika. Hii picha haijapigwa na kamera, bali imekuwa designed na computer.