Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mfumo mfumooo. Unajaza nafasi zilizoachwa waziMoja ya makosa yake makubwa ni kuchagua makamu wa rais kilaza, kosa linaloendelea kutugharimu kama taifa licha ya Magufuli kufariki miaka 5 iliyopita!.
Apumzike anapostahili.
Ungekuwa mmoja wa wahanga wa utekaji na kupotezwa ungeelewa maumivu ya hao waliomuimba dikteta.Huyu alikuwa mtu mwenye maono ,alihitaji kuungwa mkono tena wazi wazi ..Wakaja wajinga wanaokariri vingereza eti Dikteta..Siwezi kushabikia CHADEMA bora hata kuchagua mnyama.
Exactly....hii hata Mimi nilihisi kama wewe! Jamaa sura yake ilishabadirika ikavaa umauti.
Moja ya picha ya Magufuli katika kipindi cha uhai wake ambayo ilipigwa wakati akiwa Ikulu akimuapisha Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kua Balozi na Katibu mkuu kiongozi Februali 27, 2021
Picha hii ilibeba hisia nzito na kumuonyesha JPM hayupo sawa maana hata siku hiyo baada ya uapisho Magufuli akuongee chochote kile.
Na baada ya hapo mwamba akawa kimya na baada ya wiki kadhaa ambayo ilikuwa March 17, 2021 taarifa za kifo chake zikatangazwa na Serikali kupitia makamu wa Rais Samia kipindi hicho akiwa kwenye nafasi hiyo.
Hakika ilikuwa ni siku ngumu kwa watanzania wengi sana hata mataifa jirani, lakini kuna wale waliofurahia kifo chake.
Endelea kupumzika kwa amani JPM ulioyafanya yanaendelea kuishi. Hadi wale waliokukataa leo wana kukumbuka sana
Na uliwahi kusema Mtanikumbuka! Hakika tunakukumbuka.
Miaka 5 bila Magufuli nchini Tanzania
Acha kujifariji.Haya yote yanatokea sababu zake.hakuwa kiongozi bali alikuwa nyampara wa wafungwa
Huna akiliHuyu alikuwa mtu mwenye maono ,alihitaji kuungwa mkono tena wazi wazi ..Wakaja wajinga wanaokariri vingereza eti Dikteta..Siwezi kushabikia CHADEMA bora hata kuchagua mnyama.
Kuna vitu Magufuli alifanya ngumu kumtetea ukiacha iyo miundo mbinu ya macho ukatili wa wapinzani ulianza enzi zakeHuyu alikuwa mtu mwenye maono ,alihitaji kuungwa mkono tena wazi wazi ..Wakaja wajinga wanaokariri vingereza eti Dikteta..Siwezi kushabikia CHADEMA bora hata kuchagua mnyama.