Mdhalilishwaji kama hajalalamika hakunaudhalilishaji
Wabongo kwa wivu hamjambo. Dangote na Zari wakionekana sehemu kama hizo mnakuja na masifa ushuzi yenu ooh mtoto mzuri, mara ooh dangote anakula mbunye kali... wakifanya akina wamitego mnakuja na visebengo vyenu kumkandia..
Binafsi huwa simpendi Ney lakini haiwezi kuwa sababu ya kumkandia kwa picha kama hizi wakati najua ni msanii. Bshaka yupo location ana shoot... ajabu nini???? Wabongo kila kitu siasa... mnawaza kimasaburisaburi.
dada ameridhia apigwe picha ya hivyoni udhalilishaji ingekuwa mwanae au dada yake kapigwa picha ya hivyo angejisikiaje
Kavalishwa thong, wakati mwenzake mjanja kavaa bukta!.
Mdhalilishwaji kama hajalalamika hakunaudhalilishaji
Na huyo bi dada ingekuwa ni kaka yake au mjomba wake ndiyo kapigwa hiyo picha angejisikiaje? Kwa kuwa sijapata maelezo yoyote kuhusiana na mazingira yaliyopelekea hiyo picha kutufikia basi siwezi kuchangia lolote. Huenda ni huyo dada ndiye aliyeivujisha ili kujipatia umaarufu, ukilikataa hili basi inabidi upate tuition kuhusu wadada hawa wa mjini!
Ukiona hivyo jua yupo njiani kuachia wimbo mpya.
Mie huwa najiuliza hivi huwa wanashauriana wapigane picha au video then wazisambaze ama???Maana duh???