Picha ya Nay wa Mitego akiwa na msichana uchi kitandani yazua mjadala

Picha ya Nay wa Mitego akiwa na msichana uchi kitandani yazua mjadala

Wabongo kwa wivu hamjambo. Dangote na Zari wakionekana sehemu kama hizo mnakuja na masifa ushuzi yenu ooh mtoto mzuri, mara ooh dangote anakula mbunye kali... wakifanya akina wamitego mnakuja na visebengo vyenu kumkandia..
Binafsi huwa simpendi Ney lakini haiwezi kuwa sababu ya kumkandia kwa picha kama hizi wakati najua ni msanii. Bshaka yupo location ana shoot... ajabu nini???? Wabongo kila kitu siasa... mnawaza kimasaburisaburi.

We ni mwaminifu?
 
Ooohh! shit sijaona upande wa pili wa picha!
 
Kavalishwa thong, wakati mwenzake mjanja kavaa bukta!.

mkuu hata mimi mpenzi wangu anapendelea thong na mimi navaa boxer short ambayo umeiita bukta....zote ni underwear tu hizo
 
kuna wakati watu walileta picha yake kazungukwa na mademu wana vichupi kumbe ilikuwa shooting ya video yake na hii nayo bila shaka ni shooting ya video inayokuja...
 
Halafu w/wake ndio wa kwanza kusema wanadhalilishwa kumbe mnajidhalilisha WENYEWE kwa tamaa za kuwa Video Queen msumbue wajinga wajinga mtaani.
Kwa style hii asilimia kubwa ya w/wake itabaki pale pale kuwa m/Mke ni CHOMBO CHA STAREHE
 
Mbona huyo ni demu wake aliezaa nae !!!
 
Mie huwa najiuliza hivi huwa wanashauriana wapigane picha au video then wazisambaze ama???Maana duh???
 
Na huyo bi dada ingekuwa ni kaka yake au mjomba wake ndiyo kapigwa hiyo picha angejisikiaje? Kwa kuwa sijapata maelezo yoyote kuhusiana na mazingira yaliyopelekea hiyo picha kutufikia basi siwezi kuchangia lolote. Huenda ni huyo dada ndiye aliyeivujisha ili kujipatia umaarufu, ukilikataa hili basi inabidi upate tuition kuhusu wadada hawa wa mjini!

Sasa hapo umefanza nini?..si ndio umechangia!!
 
Back
Top Bottom