Picha ya Nay wa Mitego akiwa na msichana uchi kitandani yazua mjadala

Ney wa mitego nae angevua ili wote wawe uchi,kamzalilisha sana Hugo dada
 
poa tu kwani angekua kim sijui kadashian au nikki minaj mngeponda???? Tuwaache tu wafanye yao na kila mtu aishi maisha yake as long as avunji sheria.
 
[h=3][/h]

kama mnavyoona wakuu,wengine wanasema ni udhalilishaji wengine wanasema poa tu,sijui nyie mnasemaje,je ndio kiwango cha usanii kinakua hivyo?

Nani aliwapiga picha? Kwanini? Nani ameziposti kwenye mitandao?
 
Mbona huyo mdada kama mzungu vile,,??? Kuvaa hivyo kwa wadada wa kizungu kawaida
 
[h=3][/h]

kama mnavyoona wakuu,wengine wanasema ni udhalilishaji wengine wanasema poa tu,sijui nyie mnasemaje,je ndio kiwango cha usanii kinakua hivyo?

maisha yenyewe mafupi mwacheni ye ale ujana....!!
 
poa tu kwani angekua kim sijui kadashian au nikki minaj mngeponda???? Tuwaache tu wafanye yao na kila mtu aishi maisha yake as long as avunji sheria.

Acha upuuzi ww wa kutetea jambo ambalo ki mtizamo sio maadili ya ki Tanzania mbona vitu vingine una haja ya kuelekezwa kwa mtizamo tu wa macho yako utaona sio jambo jema na sahihi japokuwa uyo mwanamke mpuuz hapo anaonekana kutojari kwa lolote "elimu ya kujitambua ni muhimu sana " stay black
 
Mhhhh njaa mbaya xana.....kwa mwabamke mwenye kazi ake humkuti akifanya izo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…