KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Wanawake wamekuwa watumwa wa hela mpaka wamesahau utu wao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo kwenye project ya video shooting ya wimbo mpya. Hakuna tatizo hapo
Mie huwa najiuliza hivi huwa wanashauriana wapigane picha au video then wazisambaze ama???Maana duh???
[h=3][/h]
[h=3][/h]
poa tu kwani angekua kim sijui kadashian au nikki minaj mngeponda???? Tuwaache tu wafanye yao na kila mtu aishi maisha yake as long as avunji sheria.