Pre GE2025 Picha ya Samia kwenye mitungi ya gesi ni ya nini? Haya ndio mambo CHADEMA wanapinga. Msimamizi wa vyama vya siasa yupo kama kipofu na kiziwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama una spray au rangi unafuta tu hiyo picha yake kirahisi sana!
 
Nchi ipo katika laana kubwa. Nchi ikiongozwa na wajinga, nchi yote, watu wote mtaonekana wajinga.

Kabla ya uchaguzi, huenda kitakachofuata ni akina mama na akina baba wote kupewa nguo za ndani zenye picha ya Rais, maana inaonekana wapanga mipango ya kampeni wa mama ni zero brain.
 
Kuna aliyekataa kupokea mtungi utwambie jina lake ili sisi "Watu wa Mama" tufuatilie?
 
Kwanza kabisa campaign hiyo ina lengo la kuhujumu matumizi ya gesi ya tanzania. Badala ya kwenda hatua zaidi kusambaza kwa mitungi ile gesi ya asili 'NPG' ya Tanzania makampuni ya nje ya wahindi wanafanya kampaign kupitia serika ya samia kuweka mkwara kwa kutoa mitungi ya gezi za nje zitokanazo na petroli 'LPG' kuteka soko na kuhakikisha usambazaji wa gesi ya tanzania haupati kasi. Wananchi wanakubali gesi ila kwa uhakika gesi ya nchini ndio ingekua rahisi sio hizi zinaletwa kutoka nje. Kampeni ya mama itafeli kwani gesi za nje ni ghali sana kulinganisha na kipato cha mtanzania wa kawaida.
 
Nimeona kanga zenye picha ya "mama yao".
Nimeona vitenge vyenye picha ya " mama yao".
Nimeona tshirts,kofia na mitandio yenye picha ya "mama yao"
Nikiwashauri watia nia ya udiwani na ubunge kwa chama cha mambuzi kuwa wanunue masinki ya vyoo vya kuchuchumaa/kukaa na waweke picha ya "mama yao" , itakuwa ni dhambi kufanya hivyo!!??
 
Namuona nabii wa Mungu aliyekubali kuwa chawa wa serikali
 
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ameinuliwa kwa mkono wa Mungu Mwenyewe

Mungu yupi maana hata Mungu wake harujusu mwanamke kubwa juu ya wanaume tena kwa rushwa . Yaani hata mizimu ya kiafrika hairuhusu wanaume mil. 31 kukaliwa na mandamke sembuse dini ya Allah na mtume wake .?

Hii ni laana na kufru na mwisho wa CCM utakua ni mbaya mno na nchi itakua na hatari kubwa sana maana hujui chocho kinachoendelea . Fuatilia hata mfumo wa ajira sasa utaona Tembo anapewa chakula sawa na sungura .

Vijana wa Tanganyika amkeni acheni uchawa . Leo ajira ni sawa kwa sawa kati ya Tanzania Bara yenye wetu mil. 58 na Zanziba yenye watu mil.2. Wewe unaona ni sawa . ?

Endeleeni kushabikia ujinga baada ya miaka mitano huyu akitoka ndio mtajua kuwa mlikua mnaua chama . Kwa vyovyote hakuna tena miaka 10 mbele ya huu ujinga ujinga . Na Siku bara wakishika uongozi hawatakubali tena hii katiba maana imeua dira ya nchi kiusalama wa kuuza Bandari kubwa Afrika mashariki na kati kwa mgeni na kisha kumpa mapori na ardhi yote ya hifadhi ya umma .
 
W
Wakawape wazanzibar maana hawana Miti ya mkaa,kuni na umeme wa uhakika .
Tanganyika wana mpaka makaa ya mawe !!

Kutumia pesa nyingi na rushwa kubwa kuhonga wapiga kura halafu bado unaiba kura ni hulka na tabia za kishetani na ni uovu mkubwa .
 
Stev mtampa ubalozi wa nje soon naona

Ova
 
Uchawa sasa ni adui wa nne wa Taifa letu, baada ya ujinga, maradhi na umaskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…