Pre GE2025 Picha ya Samia kwenye mitungi ya gesi ni ya nini? Haya ndio mambo CHADEMA wanapinga. Msimamizi wa vyama vya siasa yupo kama kipofu na kiziwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mada zingine bwana😅😅
 
Sasa anasemwa anaupiga mwingi mbona nguvu kuubwa mno kumnadi, si kazi zake zingetosha?!.
 
Masikini Tanzania bandari ya bagamoyo mafisadi waichukua😕

Maskini wanapewa mitungi ya gesi
 

Attachments

  • 20250213_171101.jpg
    104.5 KB · Views: 2
Mfano huu mtungi ukiisha haijalishi pesa ipo au hamna Ila utaenda kubadilisha wapi yaan kampuni gani?
 
Kabisa inakera mno!
 
Stev mtampa ubalozi wa nje soon naona

Ova
binafsi sina tatizo na mTanzania mzalendo yeyote kupewa nafasi au fursa ya kuwakulisha wengine kokote duniani.

Je,
ubaya uko wapi ukapata fursa hiyo wewe mrangi au huyo ulie mtaja kama waTanzania wazalendo?🐒
 
Jamii inayojitambua na kujielewa
Big up
 
Jamii inayojitambua na kujielewa
Big up
 
Jamani pokeeni hiyo mitingi- kula ccm lala unakojua. Akili mu kichwa.
 
We ni mwakilishi wao? Acha kiherehere we danga la kike.
 

 
Mimi huwa nashangaa sana ccm wanatumia nguvu kubwa na ikiwa wana hakika ya kushindaa.. Wana wanachama wengi kuliko chama chochote ila sasa preshaa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…