Dada yenu mkubwa ndani ya familia kabahatika kwenda kusoma USA, na akiwa mwaka wa mwisho wa masoma yake
anawaletea barua wazazi wake.
Nanyi pia mnabahatika kuiona barua hiyo inayoeleza ya kuwa yeye huko kapata mchumba na anatarajia kufunga nae
ndoa hapo baadaye, lakini pia
kaambatanisha na picha ya huyo mumewe mtarajiwa.
Hebu ona picha ya shemeji....