Picha ya shemeji..

Picha ya shemeji..

Domhome

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
3,198
Reaction score
3,950
Dada yenu mkubwa ndani ya familia kabahatika kwenda kusoma USA, na akiwa mwaka wa mwisho wa masoma yake

anawaletea barua wazazi wake.

Nanyi pia mnabahatika kuiona barua hiyo inayoeleza ya kuwa yeye huko kapata mchumba na anatarajia kufunga nae

ndoa hapo baadaye, lakini pia

kaambatanisha na picha ya huyo mumewe mtarajiwa.



Hebu ona picha ya shemeji....
 

Attachments

Mh, sasa hapo hajasimama dede hali ni hiyo, je akiamua kusimama itakuaje?
 
nashindwa kumuona shemeji.......anayeweza kumuweka hapa naomba aniwekee tafadhali
 
nashindwa kumuona shemeji.......anayeweza kumuweka hapa naomba aniwekee tafadhali

clip_image001.jpg
 
Sasa jamaini ni chaguo lakek dada, kaona anamfaa, kaona ndo anayemfikisha..............nyie wasiwasi wa nini??
Mbona mnanyanyapaa viumbe waloumbwa na Muumba jamani??......................................
Dada Hongera mwaya!
 
Back
Top Bottom