Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wenzio hawajui.. wanawaza kuwa anajiselfishaπWengine wanabandika tips aka kucha bandia, sasa ikimkatikia/ kuchomoka ndio anabaki hivyo π€£
Wewe mbona vidole vyote vina rangi...Wengine wanabandika tips aka kucha bandia, sasa ikimkatikia/ kuchomoka ndio anabaki hivyo π€£
πππ si haijabandukaWewe mbona vidole vyote vina rangi...
Ukitenda dhambi ndiyo zinabanduka...πππ si haijabanduka
ππ ndio nini hiyo?Ukitenda dhambi ndiyo zinabanduka...
Kujihangaisha...ππ ndio nini hiyo?
NdiyoKujihangaisha...
Unajihangaisha kwa siku mara ngapi...Ndiyo