Picha ya siku ya Oparesheni 255 imeonekana Buchosa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hapa ni kata ya Kome Kisiwani , Kwenye Mkutano wa Hadhara ulioongozwa na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , baada viwanja kujaa watu



Hata ningekuwa mimi kwa hali ya Uwanja kama hivi ningepanda kwenye Mkuyu tu





Usiondoke JF , mambo ni mengi mno !
 

Attachments

  • Screenshot_2023-08-02-17-26-07.jpg
    67.5 KB · Views: 8
  • Screenshot_2023-08-02-17-26-01.jpg
    54 KB · Views: 8
Shikilieni hapo hapo na zaidi.
Hakikisheni safari hii huu siyo moto wa mabuwa utakaokuja kuzimwa na CCM kwa njia yoyote ile, iwe ya hadaa au ya maguvu ya polisi, au wizi wa kura hapo 2024/25.

Fanyeni utafiti, ndani kwa ndani kuanzia sasa, kuhakikisha moto huu unazidi kupamba moto kuelekea kwenye chaguzi hizo.

Ndani ya chama, tafuteni mbinu za kuukoleza moto huo.

Tegeemeni sayansi zaidi safari hii, badala ya maluweluwe ya mwonekano wa juu juu kuhusu nyomi hizi.
 
Nimeangalia kupitia online TVs mkutano wa Tundu Lissu (Chato) Geita na ule wa Freeman Mbowe (Nyehunge) Jimbo la Buchosa, Sengerema, kwa kweli ni balaa kwelikweli kwa jinsi watu wanavyojitokeza Kwa maelfu kwenye mikutano hii ya CHADEMA..

Mimi naona liko jambo linataka kutokea Tanzania. Nikiwaangalia watu hawa wanaohudhuria kwenye mikutano hii, wanaonekana wazi kuwa wamechochwa na jinsi mambo yanavyoenda ktk nchi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…