Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Umepita mle mle tulimopangaShikilieni hapo hapo na zaidi.
Hakikisheni safari hii huu siyo moto wa mabuwa utakaokuja kuzimwa na CCM kwa njia yoyote ile, iwe ya hadaa au ya maguvu ya polisi, au wizi wa kura hapo 2024/25.
Fanyeni utafiti, ndani kwa ndani kuanzia sasa, kuhakikisha moto huu unazidi kupamba moto kuelekea kwenye chaguzi hizo.
Ndani ya chama, tafuteni mbinu za kuukoleza moto huo.
Tegeemeni sayansi zaidi safari hii, badala ya maluweluwe ya mwonekano wa juu juu kuhusu nyomi hizi.