NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Kwenye picha hapo karibu nusu ya hao manjagu ni kutoka Lake zone,Lake zone ndo sehemu ya kwanza kabisa kukamatwa Mbowe tangia mama aliposhika madaraka[emoji23]Pale anaposikia chadema wakidai kuwa lazima wafanye kongamano la katiba atake asitake[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1861939
Kufikiri kwetu kumekuwa kwa pupa sana, kuna kitu kimepandikizwa kwa watanzania cha kutokujikubali na kuamua juu ya mstakabali wetu wenyewe mpaka tuamuliwe na wenye madaraka tu utazania wao ni malaika, wakati wanatupenda wakati wa uchaguzi tu ukiisha wanatutupilia mbali huko.Chanjo ya Surua,pepopunda,ndui pamoja na kifua kikuu ni lazima,kwa nini hii isiwe lazima?
Hii ina maana atapigika kule. Kanda maalumKwenye picha hapo karibu nusu ya hao manjagu ni kutoka Lake zone,Lake zone ndo sehemu ya kwanza kabisa kukamatwa Mbowe tangia mama aliposhika madaraka[emoji23]
Hii picha inatafsiri nyingi asee.
Waziri mkubwa kasema chanjo zimefika.Ngoja tuone ubishi wenu kama mtahamia kambi ya kaskazini mwa Kenya?Sijui inaitwaje vile?ππππSawa mkuu ngoja tusubiri tuone itakavyo kua kwa Tanzania yetu.
Yeye anasema siyo lazima na hapo ndo tunaelewana nae sanaWaziri mkubwa kasema chanjo zimefika.Ngoja tuone ubishi wenu kama mtahamia kambi ya kaskazini mwa Kenya?Sijui inaitwaje vile?ππππ
Sawa ila usiwe unaandika tu hapa kumbe moyoni unahaha?ππππYeye anasema siyo lazima na hapo ndo tunaelewana nae sana