warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hata yeye amewahi kukiri mpenzi wake lady jaydee amewahi mtuhumu na scandal ya ushoga Ila yeye akapotezea, now picha yake na shoga maarufu Nigeria , bob risk imesambaa ikiwaonyesha wawili hao wakiwa kwenye pozi tata, kitu ambacho mashabiki wa lady jaydee wamemjia juu staa huyo na kumshambulia kwa matusi