Tetesi: Picha ya spicy mpenzi wa Jide na shoga maarufu yazua utata

Tetesi: Picha ya spicy mpenzi wa Jide na shoga maarufu yazua utata

View attachment 926336

Hata yeye amewahi kukiri mpenzi wake lady jaydee amewahi mtuhumu na scandal ya ushoga Ila yeye akapotezea, now picha yake na shoga maarufu Nigeria , bob risk imesambaa ikiwaonyesha wawili hao wakiwa kwenye pozi tata, kitu ambacho mashabiki wa lady jaydee wamemjia juu staa huyo na kumshambulia kwa matusi
Shoga yupi kati hao wawili[emoji15][emoji15]
 
Hahahaa! Hapana bhana... kwanza wakati ule nilikuwa bado kavulana lakini hadi leo sijamsahau yule shoga!!
Afadhali kiongozi... Maana vijana hawachelewi kukuita Konki konki master mzee wa Oil chafu
 
Ila tuache masihara! Niliwahi muona shoga mmoja hivi wa huko huko West Africa... wallah tena hata akikaa na akina Hamisa, Zari & Co., unaweza kumchagua huyo shoga jinsi alivyokuwa mzuri wa sura hata umbo!!

Ingawaje wanasema Mungu hafanyi makosa, yule jamaa Mungu alimkosea kwa viwango vyote manake ni mwanamke kwa 100% hata kama alimpa mapvmbv!
Weka picha
 
hahaa huyo wanayemsema kuwa ni choko umeziona papi za mdomo wake lakini ".. lmfao !! shoga mazuri namna hiyo aisee
 
Heee huyo dada mrembo hapo pembeni ni mwanaume, dunia simama nishuke
 
Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa huyo wa kushoto kwangu ni shoga!
45424884_2152766868385115_5867372569870467072_n.jpg
 
Ah kumamae wallah... sasa huyo ukikutana naye kitaa usiku si unaimbisha kabisa sheikh wangu...?
We mwenyewe umemuona mchana na imekupa shida kuamini sasa usiku hakuna cha kuuliza. Suprise utaipata mkifika kwenye eneo la tukio..
 
Back
Top Bottom