Tetesi: Picha ya spicy mpenzi wa Jide na shoga maarufu yazua utata

Mkuu nimejuta kuingia Jf Wakati nipo kwenye serious meeting....dah Leo nimeharibu nimecheka kifala hakuna MTU aliyeweza kunielewa hakika.
Pole ndugu yangu. Ni hii dunia tu kiongozi... Katika hali ya kawaida huwezi dhania kama hicho kifaa hapo kinakojoa kikiwa kimesimama. Ee Mola tuepushe na mitihani ya namna hii. Acha tu tupambane na physics na Biology hakyamama ... Astaghafurulilah... labda itokee tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…