Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Nyuki wa Mama mpo?

Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani

Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia? :KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

Narudisha mpira kwenu nyuk
Eti akitumia kifaa kitaalamu sana, wewe cute wife nina mashaka na wewe, kwanza nishaanza kukupenda, unaniruhusu nije pm?
 
Hii inaonyesha aina ya viongozi tulionao Serikalini. Ajabu sana, sijui alikuwa anaona nini hapo. Kama kitu kigeni hukijui matumizi yake si unauliza tu jamani?. Hata aliyempiga picha hata kumsitua hamna!. 🤔
 
Jeshi la kizamani kweli hili, hizo kofia za chuma za vita vya Kagera ndio bado hao vijana wetu "GenZ" wanavishwa karne hii? 😳
 
Yaani kugeuza binocular nayo ni stori?

Hapo siyo kwamba haelewi matumizi yake isipokuwa alikuwa akitest muonekano wa image tu kama kujifunza kitu flani.

Kwa sababu ukiangalia kitu kwa kutanguliza 'pakubwa' mbele, image huonekana vizuri safi kabisa na kwa ukubwa.

Na kinyume chake kama alivyofanya yeye, ukitanguliza 'padogo' mbele, image huonekana kwa udogo sana na zikiwa mbali hauwezi kuzitambua.
Nchi zingine MTU anajiuzulu, maana anaonekana hafai kuwepo hapo
 
Kwa hiyo kazi yake ile ni kuona kwa udogo?yaan wewe kiazi kweli
Wewe ndiyo kajinga.

Kifaa nimekaa nacho zaidi ya miaka 30 nisijue matumizi yake?

Kasome tena hiyo comment uoneshe wapi niliposema matumizi ya kifaa hicho ni kuona vitu kwa udogo.

Acha kukurupuka kijana.
 
Wewe kichwa Panzi unaposema anaona kwa udogo maana yake nini?
Means anaweza kutumia pia kwa kuona kwa udogo.Sasa nimekuwekea defenition ya hiyo kitu.

Kutumia miaka 30 sio Tija, unaweza kuwambumbavu kama huyo alie kigeuza.

ile kitu imetengwenezwa kwa Lenzi mbinuko tu na sio vingineyo so hakuna double lens useme ukigeuza utaona kwa udogo while uko mbali.

Cambridge Dictionary

“”a device for making objects that are far away appear nearer and larger, and made of two attached tubes that you hold up to your eyes to look through:.”

Haya kakojoe kalale
 
Wewe ni mtu wa namna gani mwenye ujuaji usioweza kujenga hoja nje ya box?

Unachokisoma kwenye maandishi theoretically chaweza kuwa si hicho unachong'ang'aniza nikubaliane nawewe, darubini zipo za aina nyingi bhana.

Mimi vifaa hivyo nilishavitumia practically/phisically kwa muda mrefu, kwahiyo ninavijua siyo kwa kusimuliwa ndiyo maana nimekomaa kujenga hoja.

Labda nikuulize, ni aina gani ya darubini unayoiongelea na kutandaza formular hapa?

Hizo binoculars za kijeshi/kitalii zinazoongelewa hapa nimezitumia na kuzichezea kwa miaka nenda rudi ninazijua kwa undani.

Siwezi kukaa na kifaa miaka yote hiyo nisijue namna kinavyofanya kazi ama kushindwa kujaribu kutafiti kutazama kwa kinyume kama anavyofanya huyo Waziri!

Binocullar ukiigeuza inaona vitu kwa udogo, ukubali ukatae habari ndiyo hiyo period
 
Mimek

nimekuuliza ni lenzi gani imetumika hapo kutengeneza hiko kiona mbali?

Wewe kukaa navyo haisaidiii na mimi sitaki kusema upande wangu nimevitumia wapi.

Hivi unaelewa maana ya hizo ribon nyeupe au kijivu kwenye hiyo kitu ya waziri Tax?
Usitake kupotosha watu.

Logicaly nimekaa mbali then nitake kuona vitu kwa udogo😂😂
 
Halafu huyu ndio waziri wa ulinzi
Hii nchi ndio maana Kagame anatucheka

1724457690639.png
 
Mimek

nimekuuliza ni lenzi gani imetumika hapo kutengeneza hiko kiona mbali?

Wewe kukaa navyo haisaidiii na mimi sitaki kusema upande wangu nimevitumia wapi.

Hivi unaelewa maana ya hizo ribon nyeupe au kijivu kwenye hiyo kitu ya waziri Tax?
Usitake kupotosha watu.

Logicaly nimekaa mbali then nitake kuona vitu kwa udogo😂😂
Ribon unazosema wewe ni adjustable.

Concave lenses zimetumika.

Usidhani huyo Waziri haelewi matumizi sahihi ya kifaa hicho na ikitokea kutokujua matumizi yake, hapo wapambe wangeling'ang'ana kumuelekeza fasta.

Sema nyie mnalikuza hili lakini ni issue ndogo sana
 
Back
Top Bottom