DAKA MTUMBA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,288
- 801
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga Africa Yanga Afrika...
Umoja wa Mataifa.....
Mabingwa wa Tanzania na Africa, mashariki na katiii.....
Abasi Gulamali, raisi wa Yanga......
Mkuu hivi kwa mazoezi hayo mtamtoa mwarabu kweli?
Au mnadhani mnaenda kupambana na abajalo ya sinza?
Waarabu noma sana!! Tukiweza kuwapiga 3-0 hapa angalau!!
Kocha hachezi dhidi ya Watunisia, kama wachezaji hawaelewi haitasaidia loloteTuna kocha wetu Plujn bwana, kocha wa ushindi + timu ya ushindi. Karibu mkuu kwenye timu ya mafanikio
Kocha hachezi dhidi ya Watunisia, kama wachezaji hawaelewi haitasaidia lolote
Nadhani umesahau zile 6-0 za Raja CasablancaKocha kakisuka kikosi kiko kamili balaaa. Mwarabu lazima akae
Nadhani umesahau zile 6-0 za Raja Casablanca
haifutikiHistoria?
haifutiki
Haifutiki ile ya 6-0, hata kama Jumamosi yanga itashinda. Ni kama vile 5-0 za mnyama, hazitafutikasubiri jumamosi utashangaa. Tambweeeeeeeeeeeee