Picha:Yanga ikijiandaa kwa Mwarabu vs Simba kwa MCC

Picha:Yanga ikijiandaa kwa Mwarabu vs Simba kwa MCC

DAKA MTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,288
Reaction score
801
Siongezi neno,!picha zimemaliza kila kitu!!!
 
Attachments

  • images-6.jpeg
    images-6.jpeg
    13.8 KB · Views: 668
  • 1-1.jpg
    1-1.jpg
    122.5 KB · Views: 639
Yanga Africa Yanga Afrika...
Umoja wa Mataifa.....
Mabingwa wa Tanzania na Africa, mashariki na katiii.....
Abasi Gulamali, raisi wa Yanga......
 
Yanga Africa Yanga Afrika...
Umoja wa Mataifa.....
Mabingwa wa Tanzania na Africa, mashariki na katiii.....
Abasi Gulamali, raisi wa Yanga......

Mkuu hivi kwa mazoezi hayo mtamtoa mwarabu kweli?
Au mnadhani mnaenda kupambana na abajalo ya sinza?
 
Mkuu hivi kwa mazoezi hayo mtamtoa mwarabu kweli?
Au mnadhani mnaenda kupambana na abajalo ya sinza?

Tuna kocha wetu Plujn bwana, kocha wa ushindi + timu ya ushindi. Karibu mkuu kwenye timu ya mafanikio
 
Waarabu noma sana!! Tukiweza kuwapiga 3-0 hapa angalau!!
 
Tuna kocha wetu Plujn bwana, kocha wa ushindi + timu ya ushindi. Karibu mkuu kwenye timu ya mafanikio
Kocha hachezi dhidi ya Watunisia, kama wachezaji hawaelewi haitasaidia lolote
 
Naona waandishi wa habari hawataki kuiambia Yanga ukweli. Ngoja tuwaambie Yanga wajiandae kisaikolojia nyumbani na ugenini

attachment.php
 
Dah,wakuu inabidi hapa mwarabu ashonwe nyuzi 8 kama zile za Coast Union ya Tanga.
 
Mwajuma ndala ndefu... Sioni akifika mbali, lazima waarabu wampakate
 
Back
Top Bottom