PICHA: Yanga SC hili kombe la GSM mlishinda lini

Dah wakati wanamchukua mwamnyeto kwenye ile hela ya usajili milioni 80 ilikuwa ya udhamini wa gsm kwa coastal union wakasema watafanya gsm cup haikufanyika naona wakaamua kujipa kombe hapo wanawadanganya hao wageni

Kumbe
 
Kushabikia hizi timu kubwa yataka moyo yaani Kuna mtu tangu yupo form one kaanza kuipenda Yanga na hadi leo yupo form four anaipenda lkn hajawahi kuiona ikichukua Kombe la VPL....
Minne tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…