PICHA: Yanga SC hili kombe la GSM mlishinda lini

PICHA: Yanga SC hili kombe la GSM mlishinda lini

kenge 10

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
1,450
Reaction score
2,383
Habari wakuu,

Kwenye picha iliyonaswa katika utambulisho wa Khalid Aucho back ground kuna kombe linaonekana lina nembo ya GSM. Ningependa kujua hili ni kombe gani na walishinda lini au kule kaunda kuna ligi ilipigwa?

FB_IMG_16287556836652835.jpg
 
Dah wakati wanamchukua mwamnyeto kwenye ile hela ya usajili milioni 80 ilikuwa ya udhamini wa gsm kwa coastal union wakasema watafanya gsm cup haikufanyika naona wakaamua kujipa kombe hapo wanawadanganya hao wageni

Kumbe
 
Back
Top Bottom