Picha: Yanga wawasili Dar muda huu

Picha: Yanga wawasili Dar muda huu

Hujashinda kitu ndio unaingia kwenye mashindano acha ushabiki wa kijinga. Sasa huko kwenye makundi ndio kila siku itakuwa maandamano. Labda kwanza mje na malengo yenu kama ilikuwa kuingia tu makundini basi hapo nitakuelewa lakini team kubwa kama Yanga lazima iwe na malengo makubwa.
 
Back
Top Bottom