mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Feb 19, 2024 #1 1. Lema na Usaliti ni vitu viwili tofauti 2. Namuona Dalali hapo kama kuna pesa hata Lema anaweza kuwa takataka kumzidi bashite 2. Namuona Dalali hapo mtu wa kujikomba komba akidhihilisha kuwa wao ni wamoja ila wanapretend kuwa tofauti mbele yetu. 3. Lema ni mtu serious kuanzia Usoni hadi moyoni
1. Lema na Usaliti ni vitu viwili tofauti 2. Namuona Dalali hapo kama kuna pesa hata Lema anaweza kuwa takataka kumzidi bashite 2. Namuona Dalali hapo mtu wa kujikomba komba akidhihilisha kuwa wao ni wamoja ila wanapretend kuwa tofauti mbele yetu. 3. Lema ni mtu serious kuanzia Usoni hadi moyoni
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Feb 19, 2024 Thread starter #2 Karani mwongozaji wapiga kura POBOX Mlowo Mbozi Anasema akili ya Lema kisiasa ni Ndogo kweli?
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Feb 19, 2024 #3 Lema amefura kama mwanamke mjamzito aliyevimbishwa mwili kutokana na mimba
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Feb 19, 2024 #4 Sawa Sawa
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Feb 19, 2024 Thread starter #5 Mbaga Jr said: Lema amefura kama mwanamke mjamzito aliyevimbishwa mwili kutokana na mimba Click to expand... That is seriously politics
Mbaga Jr said: Lema amefura kama mwanamke mjamzito aliyevimbishwa mwili kutokana na mimba Click to expand... That is seriously politics
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 4,766 Reaction score 16,191 Feb 19, 2024 #6 Siasa ni u5enge tu.
Mnywani JF-Expert Member Joined Apr 2, 2020 Posts 774 Reaction score 898 Feb 19, 2024 #7 Mbona kama picha ya kitambo sana
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,586 Reaction score 11,227 Feb 19, 2024 Thread starter #8 Mnywani said: Mbona kama picha ya kitambo sana Click to expand... Juzi tuu msibani monduli mwanaume mmoja wa arusha "anapita na mia.."
Mnywani said: Mbona kama picha ya kitambo sana Click to expand... Juzi tuu msibani monduli mwanaume mmoja wa arusha "anapita na mia.."