Picha Yangu Ya Leo Nani ni Mchapa Kazi Hapo?

Picha Yangu Ya Leo Nani ni Mchapa Kazi Hapo?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Picha Yangu Ya Leo Nani ni Mchapa Kazi Hapo?

Picha Yangu Ya Leo Nani ni Mchapa Kazi Hapo.jpg
 
Hatuonani babu leo nikajikuta nimekukumbuka nikajiuliza ivi babu Asprin yupo kweli, halafu nikakuona hapa
Yaani wewe ni kaongo sijapata kuona...

Kwani namba zangu ulifuta?

PM umechemka kunitafuta?

Si ungepanda boda uje Bunju tule matikiti na Konyagi?
 
Yaani wewe ni kaongo sijapata kuona...

Kwani namba zangu ulifuta?

PM umechemka kunitafuta?

Si ungepanda boda uje Bunju tule matikiti na Konyagi?
Hakyanani nisingekuona ndani ya hii wiki ningekutafuta. Mimi mjukuu wako napoteza sana simu namba yako sijui lini mara ya mwisho nilikuwa nayo
 
Kwani kazi yao ni kushika uchafu?

Unapimaje uchapa kazi wa marais kwa kulinganisha nani anashika uchafu na nani hashiki? Ndio kigezo umeona hicho kuwapimia?

Kwanza mwingine anapanda mti na mwingine anazoa uchafu kwanini usiwalinganishe wakati wote wanapanda miti au wanafanya usafi?
 
Hakyanani nisingekuona ndani ya hii wiki ningekutafuta. Mimi mjukuu wako napoteza sana simu namba yako sijui lini mara ya mwisho nilikuwa nayo
Unatumia kiswaswadu? Siku hizi namba tunasevu kwa gugo....

Nikubipu au Nikuwazapu?
 
Back
Top Bottom