Picha Yangu Ya Leo Nani ni Mchapa Kazi Hapo?

Kushika uchafu hila gloves ni ujinga na ushamba,maradhi nje nje,
 
Mimi nina majini ya unabii, Najua hilo, hata wewe pia anza kuandaa urithi haumalizi hii wiki.
narudia tena utaanza wewe kwa hiyo jiandae na majini yako hayo si ndio zenu....rusha hilo jini uone kama halijarudi kukutoa roho wewe mwenyewe...jaribu uone ki..a we
 
Kikwete anaweza kumwagikia mti maji hata kama dakika Moja ilopita imenyesha Bonge la Mvuaa.

Ili mradi tu, Kamera ziwepo, na mwamvuli uwepo
 
narudia tena utaanza wewe kwa hiyo jiandae na majini yako hayo si ndio zenu....rusha hilo jini uone kama halijarudi kukutoa roho wewe mwenyewe...jaribu uone ki..a we
Sio kwamba eti nakurushia jini likuue, yani hili ni jini la utabiri tu, lilishanitabiria vitu vingi kama Mimba ya wife, kifo cha magufuli na vingine vingi.
Leo limeniambia kuwa huyu mtu nayejibizana naye wa kujiita tiktok hamalizi hii wiki.

Save hii comment screenshot kabisa.
Member yoyote anayesoma hii comment, huyu jamaa akiwa active baada ya hii wiki yani kuanzia j4 ijayo mniite mbwa na ntaacha kabisa kutumia hii ID
 
utaanza wewe kupotea hapa then atafata babaako alosema wabaya ndio wanakufa then kakaako hayo majini mnayofuga hayana madhara yoyote kwa mtu kama mimi,nipo na nitaendelea kuwepo hilo jini likutabirie wewe kwangu halisogei
 
Mzee yanini tuandikie mate? Wewe kaa hapa usubiri kama utaiona Jumatano.
Ukiiona njoo uniquote unikumbushe kuacha hii ID.

Ushauri wa bure: anza kuaga ndugu na kuandaa wosia
 
Back
Top Bottom