Picha yangu ya leo, unasemaje?

Mzee suluhu anaonekana wa kawaida sana. Kwa hiyo jamaa makazi yake ni ikulu?
 
raha iliyoje kuimeliki taasisi.
tuwape nafasi wake zetu na kuwashika mkono kwenye mapambano
 
Daaa, hakika Mzee aliotea balaaa
 
Picha mbona inaeleza kuna jambo kati ya hao wanandoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…