Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suluhu ni baba yake sio mume wake ujue. Waislam hawachukui majina ya waume zao, wanabaki na majina ya baba zao.Mzee suluhu anaonekana wa maana sana. Kwa hiyo jamaa makazi yake ni ikulu?
Congratulations! Muwe na furaha daima
Vipi kuna distance kati yao au?Picha mbona inaeleza kuna jambo kati ya hao wanandoa?