Inafika ngap kwani hio?Hata 50 haifiki.
Duh maiko ?Akifuata maadili sana atakuja kuwa kama Michael Jackson mwacheni ale ujana lakini kumkumbusha ni muhimu.
Tupo ...na wewe upoMpoo humuu
Bwana nilivyokuwa mdogo wakati ule tunanunua kanda za Michael, Thriller, bwana acha.Duh maiko ?
Hiv kaz ya hela ni kutumia kugegeda tu mkuu...kama ana mawazo hayo lile neno bankrupt litakuja kwenye kamusi yake mda sio mrefu ..mwache, azitumie kuwagegeda hao, maana nchi yenyewe isha kufa hii.
Hahhahh na kitaa raia zinalalamika hela hamna lakin wengine wanaziegemea kama wanalalia mto dah aiseHivi mi-noti yote hiyo mtu unakaa nayo ndani au unafanyiwa malipo ya cash?
Ukimwambia onyesha asset au investment yake yoyote yenye thaman iyo??haweziHahha ni zake
Umeongea point mkuu, kama ana akili atainvest lakin mwisho wa siku ni hela zake akiamua azitumie anavotaka ni yeye akiamua azimwage baharini ni zake tuUkimwambia onyesha asset au investment yake yoyote yenye thaman iyo??hawezi
Dah sindano yako nahsi itakua imepenya mahali mkuu hahahaHongera BW.MDOGO, wenzio wana masters lakini namna ya kupata milioni moja ni issue, wewe una karibu milioni tisini na uliishia primary! Hongera sana!
Imepita kwa hesabu za Araka.acha chuki.Hata 50 haifiki.
Hahah acha tu...nilikua naiimba ile "beat it " yote kipind hicho sasa iv siwez sjui ndo uzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pia nlikua napenda sana ile thriller ...Bwana nilivyokuwa mdogo wakati ule tunanunua kanda za Michael, Thriller, bwana acha.
Nilikuwa nikisign autograph, unazikumbuka? Future husband: MichealππHahah acha tu...nilikua naiimba ile "beat it " yote kipind hicho sasa iv siwez sjui ndo uzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pia nlikua napenda sana ile thriller ...
unakumbuka haya maneno
"but dad this is the best part, i dont want you to listen to this gabbage now go to bed" [emoji6][emoji23]
[emoji2][emoji2]Nilikuwa nikisign autograph, unazikumbuka? Future husband: Michealππ
Uyo ni mzee mengi huyu rayvanny ata majina tu yqnqtofautiana kila mtu na life style yakeUtoto bana, yaani Mzee mengi ukimstopisha njiani ukamsachi sijui hata kama utamkuta na laki moja mfukoni.