Picha yenye maana kubwa na kufikirisha.

Ukiwa unakula vegetables unapata virutubisho directly ila ukila nyama unavita passive.
Mfano tembo anapata directly ila simba akimla tembo anavipata passively from the eaten meat.

Nahisi ukijiendekeza kuwa veg unaweza kuja kuliwa, that is my take
 
Nyama haina maana, ni upuuzi!
 
Mbuzi katoliki si vegan, anakula kila kilichombele yake nadhan kabakisha chuma tu. Huyu mnyama ni mchafu san
Kula mdudu wewe acha kumsema vibaya unaweza kupata laana shauri yako
 
Ulimwengu unavyotafsiri vitu nanyinyi mnavyotafsiri ni vitu viwili tofauti!, hapa kunielewa mpaka uwe na akili pana sio akili ya mweka mada!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…