Picha Yenye Tafsiri zaidi ya Mia moja Mapokezi ya Lissu

Picha Yenye Tafsiri zaidi ya Mia moja Mapokezi ya Lissu

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Ukikaa kwa utulivu na kuitazama picha hii utapata tafsiri zisizo na idadi zenye hamasa, furaha, uchungu au hasira nk.
Jee wewe ukiambiwa uweke caption hapo utatoa maelezo gani?

20230126_104654.jpg
 
Aiseee yaani mtu unaweka matumaini kwa mwanadamu, ambaye muda wowote hayupo, mbaya zaidi huyo unayemtumainia yupo hapo kwa maslahi binafsi. inaseketisha saaaaaaana.
 
Aiseee yaani mtu unaweka matumaini kwa mwanadamu, ambaye muda wowote hayupo, mbaya zaidi huyo unayemtumainia yupo hapo kwa maslahi binafsi. inaseketisha saaaaaaana.

Uweke matumaini kwa nani ambaye yupo muda wote?
 
Aiseee yaani mtu unaweka matumaini kwa mwanadamu, ambaye muda wowote hayupo, mbaya zaidi huyo unayemtumainia yupo hapo kwa maslahi binafsi. inaseketisha saaaaaaana.
Hizi ni siasa humu kwenye jukwaa hili unafanya nini?
 
Hii ni moja ya tafsri 100. Bado tusubiri zingine 99
Mama analia kuonyesha ni kiasi kikubwa cha mateso, manyanyaso na uonevu amepitia na leo mtu pekee anayemtegemea na kama suluhisho la hayo manyanyaso na mateso amekuja. Chozi la furaha kumuona tegemeo pekee linarudi.
 
TATIZO LA TANZANIA MIKUTANO YA UPINZANI INAKUWA NA WATU WENGIII ILA KURA ZINAKUWA NYINGIII KWA CCM
 
Back
Top Bottom