Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 2,478
- 5,102
Yanalilia nchi inaenda upinde-niNasikia jana chato mapaka yamelia sana mji wote ule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanalilia nchi inaenda upinde-niNasikia jana chato mapaka yamelia sana mji wote ule
Hata kama ni miambili. Hata wakoloni walidumu kiasi cha miaka 300 lakini waliondoka. walichukua kiasiBaada ya miaka 100 mbele
Hili swala nimewahi kulifikiria lakini majibu yake yaache tu ndugu, tumuachie Mungu.TATIZO LA TANZANIA MIKUTANO YA UPINZANI INAKUWA NA WATU WENGIII ILA KURA ZINAKUWA NYINGIII KWA CCM
Kuna walioweka matumaini kwa Magu, na wengine bado hadi leo wanamtumaini..! Sembuse huyo..!!??Aiseee yaani mtu unaweka matumaini kwa mwanadamu, ambaye muda wowote hayupo, mbaya zaidi huyo unayemtumainia yupo hapo kwa maslahi binafsi. inaseketisha saaaaaaana.
Kuna wakati ukiwa na Jambo kubwa la Furaha Machozi huwa yanatoka kana kwamba uko kwenye hudhuni nzito, kumbe ni furaha iliyoukamata Mwili wako wote, na kusababisha kumwaga machozi mazito!!!
Huyu Mama yuko kwenye furaha nzito sana!!
Amejaribu kuvuta picha jinsi Mh. Tundu Lissu alivyochungulia kaburi ikiambatana na mateso Mengine mengi!!
1. Kesi za jinai 6 zenye lengo la kumfunga miaka mingi Gerezani = zimefutwa
2. Kupigwa Risasi 16 Mwilini = alipona
3. Kuzuuliwa kugombea Urais TLS = aligombea
4. Kukimbilia uhamishoni kwa Tishio la kuuawa na kuishi nje zaidi ya miaka 5 = amerudi
5. Yule aliyeagiza auawe = alikufa yeye!!
Hayo mambo 5 ndo yanamuliza huyo Mama!!!
Hakika ukitafakari vzr ni lazima machozi yakutoke,
Na hayo ndo Maajabu ya Mungu Muumba mbingu na nchi!!!
COPY & PASTE kutoka kwa mdau mmoja huko kanda ya ziwa.