Picha Yenye Tafsiri zaidi ya Mia moja Mapokezi ya Lissu

Aiseee yaani mtu unaweka matumaini kwa mwanadamu, ambaye muda wowote hayupo, mbaya zaidi huyo unayemtumainia yupo hapo kwa maslahi binafsi. inaseketisha saaaaaaana.
 
Aiseee yaani mtu unaweka matumaini kwa mwanadamu, ambaye muda wowote hayupo, mbaya zaidi huyo unayemtumainia yupo hapo kwa maslahi binafsi. inaseketisha saaaaaaana.

Uweke matumaini kwa nani ambaye yupo muda wote?
 
Aiseee yaani mtu unaweka matumaini kwa mwanadamu, ambaye muda wowote hayupo, mbaya zaidi huyo unayemtumainia yupo hapo kwa maslahi binafsi. inaseketisha saaaaaaana.
Hizi ni siasa humu kwenye jukwaa hili unafanya nini?
 
Hii ni moja ya tafsri 100. Bado tusubiri zingine 99
Mama analia kuonyesha ni kiasi kikubwa cha mateso, manyanyaso na uonevu amepitia na leo mtu pekee anayemtegemea na kama suluhisho la hayo manyanyaso na mateso amekuja. Chozi la furaha kumuona tegemeo pekee linarudi.
 
TATIZO LA TANZANIA MIKUTANO YA UPINZANI INAKUWA NA WATU WENGIII ILA KURA ZINAKUWA NYINGIII KWA CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…