PICHA: Yericko Nyerere amwangukia Tundu Lissu

Ila nyumbu wa lissu ni wangese kinoma, hivi mbowe amekashifiwa mara ngapi na lissu lkn mbowe hajamtenga Wala kumkwamisha kwa lolote na wanaongea kama kawaida wakikutana. Iweje hiyo haijawa stori Bali ya isipokuwa kwa huyo bwana wenu?!!
 
Weka kashfa moja hapa wewe Bibi Pombe na nyama za bure.
 
Ila nyumbu wa lissu ni wangese kinoma, hivi mbowe amekashifiwa mara ngapi na lissu lkn mbowe hajamtenga Wala kumkwamisha kwa lolote na wanaongea kama kawaida wakikutana. Iweje hiyo haijawa stori Bali ya isipokuwa kwa huyo bwana wenu?!!
Kashifa ipi we pimbi jike
 
Yakiwa yamesalia masaa machache kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Yericko Nyerere amwangukia Mwenyekiti mpya ajae.

Mnafique sana huyo
Angekuwa shabiki ya wale green & yellow nation tungesema tatizo ni lilipo mwiko!
 
Yericko ni mchumia tumbo! Ni wale machawa ambao hawana mshipa wa aibu!

Angekuwa wa kike angebeba mimba mbili mbili yaani kabla ya kutoka leba anatundikwa nyingine!
😹😹😹
 
Yakiwa yamesalia masaa machache kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Yericko Nyerere amwangukia Mwenyekiti mpya ajae.

Mnafique sana huyo
kweli picha hiyo inaonesha kuangukia mtu? mshana Bwana rafiki! why not Lisu kumwangukia Yeriko. Unamwangukia ili iweje, hata Lisu akiwa Mwenyekiti, hana vyeo na kazi za kugawa kama samia. Hana hela kama Mbowe kuwa anaweza akawa anapata 10, 20 toka kwa Lisu! Amwangukie kwa lipi?
 
Mie nimeona wamekaa tu kwenye viti. Hajamwangukia.
 
Back
Top Bottom