Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Rapper mkali ni muhimu awe na demu mkali
vinaendana. Young Killer amelizingatia hilo kwakuwa sasa ni miongoni mwa maemcee wanaoweza kujitokeza pale wanapoitwa wachanaji wenye mademu wakali.
Mkiss Mchumu Mwaaaa: Young Killer na Halimaty
Hitmaker huyo wa Dear Gambe amekuwa akionekana akihang out na msichana aitwaye Halimaty ambaye kudhihirisha kuwa amezama kwenye penzi la rapper huyo kutoka Mwanza, ameongeza jina la Msodoki mbele ya jina lake Halimaty.
Tangu wawe pamoja Young Killer hachoki kutupia picha za mrembo huyo kwa followers wake zaidi ya 9,000 kwenye Instagram.
Young Killer na Halimaty wakiwa Mlimani City