Picha:young killer akiwa na mpenzi wake ” halimaty ” wakila bata

Picha:young killer akiwa na mpenzi wake ” halimaty ” wakila bata

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Rapper mkali ni muhimu awe na demu mkali… vinaendana. Young Killer amelizingatia hilo kwakuwa sasa ni miongoni mwa maemcee wanaoweza kujitokeza pale wanapoitwa wachanaji wenye mademu wakali.
79182bc0aa2011e3907e121b5d90bda3_8.jpg

Mkiss Mchumu Mwaaaa: Young Killer na Halimaty

Hitmaker huyo wa Dear Gambe amekuwa akionekana akihang out na msichana aitwaye Halimaty ambaye kudhihirisha kuwa amezama kwenye penzi la rapper huyo kutoka Mwanza, ameongeza jina la Msodoki mbele ya jina lake ‘Halimaty’.
16f93d44ac8c11e3ae240e303ceb37d0_8.jpg

Tangu wawe pamoja Young Killer hachoki kutupia picha za mrembo huyo kwa followers wake zaidi ya 9,000 kwenye Instagram.
10004281_678926272148817_925541508_n.jpg

Young Killer na Halimaty wakiwa Mlimani City

6c27c97aaa2011e3985e12296a8f661d_8.jpg

8fc50e9aaa2211e3b15212d3e12d7b7f_8.jpg
 
Hongera dogo.! Toto kali haswa!!! Ila kuwa makini, usijiachie sana kizembe na madem wetu hawa wa darisalama, watakuchuna mpaka urudi mwanza kwa miguu.. my point is, nenda nae "haste haste", usijisahau sana
 
Diamond lazima ampitie bado hajamwona.
Mark my words!
 
Ivi uyu dogo kashatimiza miaka 18?au ndo kawahi mgegedo mm nlikua nakaona katoto sana kweli maisha yanakimbia spidi ya jet.
 
Mapedeshee watakanyang'anya sasa hiviiii!!!!
Anadhani watu wanahuruma wananyang'anya mchana kweupee kila ukipiga simu ipo bizzy, whatsapp kila time online.......chezea Daaaaaaar es salam.
 
Anadhani watu wanahuruma wananyang'anya mchana kweupee kila ukipiga simu ipo bizzy, whatsapp kila time online.......chezea Daaaaaaar es salam.

Umenichekeshaaa weeee acha kabisaa watu kama kina kiumbe ndio kazi zaoo
 
Hata demu mwenyewe bado hajafikisha 18.
Tuliozoea mji tunasema ngoma droo, na unaseti mambo mengine yaende kwenye mtandao.

Weeeee.....!kumbe wote underage kweli utamaduni wa akina Justine Biber na Gomez ametuharibia vitoto vyetu hapo wazazi wanakenua tu Msodoki anafanya yake.
 
mbona hawa ni watu wawili wenye moods tofauti????

anayepigwa busu anawaza mengine kabisa....!!!

msilazimishe mapenzi vijana.. kueni kwanza! lols!

79182bc0aa2011e3907e121b5d90bda3_8.jpg
 
Hii inamaanisha kuwa kuanzia sasa ndoa za utooni ni ruksa?:shocked::A S 13:

"Nlikuwepo":bolt:
 
mbona hawa ni watu wawili wenye moods tofauti????

anayepigwa busu anawaza mengine kabisa....!!!

msilazimishe mapenzi vijana.. kueni kwanza! lols!

79182bc0aa2011e3907e121b5d90bda3_8.jpg

Ilo pozi tu wote wako na moods sawa
 
Back
Top Bottom