Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Mapedeshee watakanyang'anya sasa hiviiii!!!!
Anadhani watu wanahuruma wananyang'anya mchana kweupee kila ukipiga simu ipo bizzy, whatsapp kila time online.......chezea Daaaaaaar es salam.Mapedeshee watakanyang'anya sasa hiviiii!!!!
umejuaje yani kama TB Joshua vile,ndio itakuwa hivo
Ivi uyu dogo kashatimiza miaka 18?au ndo kawahi mgegedo mm nlikua nakaona katoto sana kweli maisha yanakimbia spidi ya jet.
Anadhani watu wanahuruma wananyang'anya mchana kweupee kila ukipiga simu ipo bizzy, whatsapp kila time online.......chezea Daaaaaaar es salam.
Hata demu mwenyewe bado hajafikisha 18.
Tuliozoea mji tunasema ngoma droo, na unaseti mambo mengine yaende kwenye mtandao.
Umenichekeshaaa weeee acha kabisaa watu kama kina kiumbe ndio kazi zaoo
mbona hawa ni watu wawili wenye moods tofauti????
anayepigwa busu anawaza mengine kabisa....!!!
msilazimishe mapenzi vijana.. kueni kwanza! lols!