Picha: Yuda Iskariote akiwa airport JKIA akitekeleza majukumu yake.

Picha: Yuda Iskariote akiwa airport JKIA akitekeleza majukumu yake.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Yule mbunge kutoka Zanzibar akiiona hii picha anasemaje moyoni kwake?
 

Attachments

  • 20260606_213656.jpg
    20260606_213656.jpg
    199.7 KB · Views: 19
Huyu atakuwa ni yuda miongoni mwa wale Wana 12 wa Yakobo.
 
Nashindwa kujuwa kwa nini watu hawatambui ulaghai huu unaofanyika sasa kuhusu huyo anayeitwa "Yuda"!

Hawa watu wamekubuhu sana katika ulaghai.

Nchimbi kwa sasa hivi ndiye tegemeo kubwa kwa Samia kufika 2030; na baada ya hapo, ndiye anayetegemewa kuwa nguzo kuu ya kumlinda Mhalifu Samia asipelekwe jela maisha yake yote yaliyobaki.

Sijui ni sababu zipi zinazowafanya waTanzania kuwa wepesi sana wa kuhadaiwa kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom