Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Hahahahahaaaaa
Mashallah
Soon nitaungana nao katika kuwavaa mabikra wapatao 72 kule peponi.
Niliwaahidi mvute subira. Hatimae picha ya mwanzo ya Ayatollah Khamenei zikimuonesha akiwa na Ayatollah Khomeni na Major General Qasem Solemani huko Firdaus (Pepo ya Kobaz) wakishangilia ushindi wa Iran dhidi ya Israel na Marekani huku wakipeperusha bendera ya Iran.
Picha zingine nitawaletea jinsi zinavyozidi kuingia.
View attachment 3562610
adriz de mbusii