Picha za demu wa Young Killer akichezea pesa zazua gumzo

mlioshika ngawira hiv hizi zaweza zidi mil.5
 
Nimehesabu ni 1.5 ml..
 
hahahaha aliegundua hela alaniwe vikivamiwa na vibaka ohhh cjui chanzo nn ila kaligundua ka young killer kanataka karudi shule.
 
Hela za boss wao wanapigia pichaa
 
Na chuchu naiona
 
hivi bado watanzania tunaishi chini ya dolar moja kwa siku? manake hii mitandao na watu wanavyojionesha nahisi tumevuka ile ya dolar moja kwa siku. kila mtu ni hela, kula sehemu za maana, mavazi mazuri, magari ya maana n.k
 
Alitaka muone chuchu yake ila ni kutafuta Kiki tuu au unafikiri mngemjulia wapi kama asingefanya hivi??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Demu washida na raha na misoto sanaaa huyo demu hanifai changamoto hana.... Mungu nijalie demu mpenda pesa ilinipigane niwe kama bakhresa asinipende mimi apende verosa
 
Shillingi yaua... Tena maua...simba wa nyika waliwai kuimba...
 
Demu washida na raha na misoto sanaaa huyo demu hanifai changamoto hana.... Mungu nijalie demu mpenda pesa ilinipigane niwe kama bakhresa asinipende mimi apende verosa

wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ukimwangalia kwa macho yote mawili ! Dem ni wakawaida sana !
 
Alitaka muone chuchu yake ila ni kutafuta Kiki tuu au unafikiri mngemjulia wapi kama asingefanya hivi??

Sent from my iPhone using JamiiForums
anatafuta kiki kwa mwendo huu amechemsha anataka kuwa kama wema eeee naye aanze kuuza kwa magageti
 
hivi bado watanzania tunaishi chini ya dolar moja kwa siku? manake hii mitandao na watu wanavyojionesha nahisi tumevuka ile ya dolar moja kwa siku. kila mtu ni hela, kula sehemu za maana, mavazi mazuri, magari ya maana n.k
wa tz kwa promo utatuwezaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…