Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.
Pengine ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji kutokuona hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapper huyo ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa kufanya haya.
Na chuchu naiona
UJINGA, Umaskini Na Maradhi bado ni maadui wa taifa hili.
Hivi kupiga picha na hela ni ujanja au ushamba?
Demu washida na raha na misoto sanaaa huyo demu hanifai changamoto hana.... Mungu nijalie demu mpenda pesa ilinipigane niwe kama bakhresa asinipende mimi apende verosa
anatafuta kiki kwa mwendo huu amechemsha anataka kuwa kama wema eeee naye aanze kuuza kwa magagetiAlitaka muone chuchu yake ila ni kutafuta Kiki tuu au unafikiri mngemjulia wapi kama asingefanya hivi??
Sent from my iPhone using JamiiForums
wa tz kwa promo utatuwezaaaaaahivi bado watanzania tunaishi chini ya dolar moja kwa siku? manake hii mitandao na watu wanavyojionesha nahisi tumevuka ile ya dolar moja kwa siku. kila mtu ni hela, kula sehemu za maana, mavazi mazuri, magari ya maana n.k