anatafuta kiki kwa mwendo huu amechemsha anataka kuwa kama wema eeee naye aanze kuuza kwa magageti
wanaomegewa wengi ndio kitu wamekosaaaaaaaaaaaaaaa
katika hili tushangae wote aiseeeeeeee
Young Killer ajiandae kuachwa... Demu kajitangaza vilivyo na mapedeschee na ma papaaa yameona... She is beautiful and can do anything just for money...
Yanamvutia kasi...
ila ukimwangalia kwa jicho moja ambalo hutoa machozi likiwa limefunikwa atakuwa sio wakawaidaUkimwangalia kwa macho yote mawili ! Dem ni wakawaida sana !
Huwezi kuwa na fedha zote hizo mpyaaa. Hizo feki za kupigia picha tu na kuigizia tu.