Picha za demu wa Young Killer akichezea pesa zazua gumzo

Picha za demu wa Young Killer akichezea pesa zazua gumzo

anatafuta kiki kwa mwendo huu amechemsha anataka kuwa kama wema eeee naye aanze kuuza kwa magageti

Angezitoa hizo noti tuone hicho kifua kama kilivyo ndo angepata front page kwenye magazeti pendwa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huwezi kuwa na fedha zote hizo mpyaaa. Hizo feki za kupigia picha tu na kuigizia tu.
 
Maskini akipata, Ma.ta.ko ulia mbwatambwata, nyambafuuuuu kabisa
 
Haizidi ml 3 hapo
Pesa ya kawaida sana Kweli maskini akipata.......
 
Young Killer ajiandae kuachwa... Demu kajitangaza vilivyo na mapedeschee na ma papaaa yameona... She is beautiful and can do anything just for money...
Yanamvutia kasi...
 
Young Killer ajiandae kuachwa... Demu kajitangaza vilivyo na mapedeschee na ma papaaa yameona... She is beautiful and can do anything just for money...
Yanamvutia kasi...

Huyu dem wa kawaida sanaaa huwezi hata kumwangalia mara mbili.
 
Ahaaaa mademu wa dotcom hawa...ukiwa nazo tu baby I love you kibaoooo. Ukionyesha dalili ya kuishiwa hao wanakimbia. Waulizeni Mr. Blue, Mr. Nice na ma alosto wengine!
 
Huwezi kuwa na fedha zote hizo mpyaaa. Hizo feki za kupigia picha tu na kuigizia tu.

Hata mi nashangaa,naona ni nyingi mno bhana,mbona kama naona zinafika hata M 10.
 
Kumbe naye anademu?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
floyd_mayweather_mayweather_money.jpg
 
Mbona sijawahi kuona picha akimchezea young killer kama anavyochezea hela??? kaa chonjo the so called young killer...!!!
 
Back
Top Bottom