Picha za demu wa Young Killer akichezea pesa zazua gumzo

Picha za demu wa Young Killer akichezea pesa zazua gumzo

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.

Pengine ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji kutokuona hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapper huyo ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa kufanya haya.
 

Attachments

  • Demu wa killer.jpg
    Demu wa killer.jpg
    63.5 KB · Views: 6,309
Masogange amewaharibu ma bint wengi hapa mjini.
 
ngoja nijipe kazi ya kuzihesabu tuone kama ni mpunga wa kutia wazimu au ushamba tu
 
Hawajui kuna mbinguni na Mungu anawwaona.
Hawa watu siku wakifa sijui wataelekea wapi Yesu akija
 
huyu mbona ni wazi ana mzidi umri?
 
Back
Top Bottom