Elections 2010 Picha za Dr Slaa Tarakea, Rombo

Elections 2010 Picha za Dr Slaa Tarakea, Rombo

PayGod

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Posts
1,259
Reaction score
60
Leo saa kumi na moja jioni dr slaa alikuwa tarakea, rombo kuja kuivyunja ngome ya Mramba,

hotuba
  • Aliongolea kuhusu jumuiya ya afrika mashariki, na kueleza kuwa hataki hadi kazi ya afisa mtendaji zichukuliwe na wakenya, akatoa ahadi akiingia madarakani elimu itakuwa bure hadi form six,
  • Akarudia kuhusu kushusha bei ya bidhaa za ujenzi hadi elfu tano,(bati na sementi)
  • akaongolea kuhusu redet kuchakachua kura za maoni na TISS kutumiwa vibaya na serikali ya ccm
  • Na mwisho alisisitiza kuhusu wanachama wa chadema kuepuka kufanya vuruga kwa siku hizi TISA zilizobaki
KITU AMBACHO KILIWASHANGAZA WENGI
Chopa ilitua katika ya barabara ya lami, kwenye roundabout ya kwenda kenya(custom)
na hili dr slaa aliwashukuru polisi kwa kuruhusu kutoka TARAKEA Kukosa viwanja vikubwa vya wazi


HALI HALISI YA SIASA ROMBO SASA HIVI

  • B P MRAMBA ana hali ngumu sana , na kutokana na hilo jimbo litarudi kwa chadema tena, kama mwaka 1995( Wakati justin salakana wa chadema aliposhinda)
  • Mramba alikuwa anategemea sana maeneo ya TARAKEA na RONGAI na maeneo hayo ndo sasa anahali ngumu kuliko maeneo yoyote
MWISHO
Kama kura hazitachakachuliwa MBUNGE WA ROMBO ni BWANA JOSEPH SELATHINI( ambaye ameteguka mkono, picha hipo hapo juu) na kura zaidi ya asilimia 80% ya wapiga kura wa wilaya ya rombo watampigia Dr slaa kuwa RAIS WA TANZANIA

chopa.jpg

UNOBSEVER2.jpg

watuwakimsikilizaslaa2.jpg
 

Attachments

  • UN OBSEVER.JPG
    UN OBSEVER.JPG
    207.3 KB · Views: 294
  • watu wakimsikiliza slaa.2.JPG
    watu wakimsikiliza slaa.2.JPG
    164.5 KB · Views: 323
  • JOSEPH THELATHIN MGOMBEA UBUNGE ROMBO.JPG
    JOSEPH THELATHIN MGOMBEA UBUNGE ROMBO.JPG
    271.6 KB · Views: 300
  • UN OBSEVER.2.JPG
    UN OBSEVER.2.JPG
    240 KB · Views: 207
  • chopa.JPG
    chopa.JPG
    160.9 KB · Views: 223
Our day of civilian revolution is nigh.............................and the day of reckoning inches towards us ..........even Jk and his CCM knows too..........
 
slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Asante sana Pay God kwa uchambuzi wako mzuri. Picha hazionekani vizuri lakini si kitu sana.

Bila shaka Mramba atakuwa na wasiwasi mkubwa sana. Slaa akishinda ile kesi inaweza kuzungumzwa kikweli. Na Mbunge Mtarajiwa wa Rombo ni Joseph Selathini au Joseph Sealasini?
 
ni Joseph Selathini, kuhusu picha , nimejitahid kuweka vizuri zinagoma
 
Asante sana PayGod hapa si pale stendi ya zamani? Hii nafikiri ndio centre ya Tarakea.
 
Mramba ana wasiwasi kuwa CHADEMA ikichukua nchi yeye makazi yake yatakuwa Segerea
 
Malaria sugu yu wapi jamani?
Hizi ndo posts zinazomfaa sana mtu yule.
Mungu yu pamoja nawe dr. slaa.
You have my blessings
 
MS KALAZWA BAADA YA KUANGALIA PICHA ZA KAMPENI ZA DR. SLAA JIJINI MWANZA.
Go chadema goooo
 
Karibu mbunge Selathini,tahadhari usijehamia sisiem kama salakana na masumbuko.tunaamini wewe una msimamo. GO SLAA,GO ,BWANA ATAKUWA TUMAINI LAKO na Kwa Watanzania pia...Mith.3.21-27
 
Back
Top Bottom