PayGod
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 1,259
- 60
Leo saa kumi na moja jioni dr slaa alikuwa tarakea, rombo kuja kuivyunja ngome ya Mramba,
hotuba
Chopa ilitua katika ya barabara ya lami, kwenye roundabout ya kwenda kenya(custom)
na hili dr slaa aliwashukuru polisi kwa kuruhusu kutoka TARAKEA Kukosa viwanja vikubwa vya wazi
HALI HALISI YA SIASA ROMBO SASA HIVI
Kama kura hazitachakachuliwa MBUNGE WA ROMBO ni BWANA JOSEPH SELATHINI( ambaye ameteguka mkono, picha hipo hapo juu) na kura zaidi ya asilimia 80% ya wapiga kura wa wilaya ya rombo watampigia Dr slaa kuwa RAIS WA TANZANIA
hotuba
- Aliongolea kuhusu jumuiya ya afrika mashariki, na kueleza kuwa hataki hadi kazi ya afisa mtendaji zichukuliwe na wakenya, akatoa ahadi akiingia madarakani elimu itakuwa bure hadi form six,
- Akarudia kuhusu kushusha bei ya bidhaa za ujenzi hadi elfu tano,(bati na sementi)
- akaongolea kuhusu redet kuchakachua kura za maoni na TISS kutumiwa vibaya na serikali ya ccm
- Na mwisho alisisitiza kuhusu wanachama wa chadema kuepuka kufanya vuruga kwa siku hizi TISA zilizobaki
Chopa ilitua katika ya barabara ya lami, kwenye roundabout ya kwenda kenya(custom)
na hili dr slaa aliwashukuru polisi kwa kuruhusu kutoka TARAKEA Kukosa viwanja vikubwa vya wazi
HALI HALISI YA SIASA ROMBO SASA HIVI
- B P MRAMBA ana hali ngumu sana , na kutokana na hilo jimbo litarudi kwa chadema tena, kama mwaka 1995( Wakati justin salakana wa chadema aliposhinda)
- Mramba alikuwa anategemea sana maeneo ya TARAKEA na RONGAI na maeneo hayo ndo sasa anahali ngumu kuliko maeneo yoyote